Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unasema Unashauri Huku Una Maslahi Yako, Link Inaonyesha Kabisa Ni Referral Hiyo
Ushawahi Kuona Mtu Anasema Ukweli Juu Ya Madhaifu Ya Kazi Ugali Wake.
mkuu, ukitumia refferal link hakuna unachopoteza, haya ingia hapo remitano.com
 
Umetugeuza sisi kua sehem ya ugali na mtaji wako!
Unasema Unashauri Huku Una Maslahi Yako, Link Inaonyesha Kabisa Ni Referral Hiyo
Ushawahi Kuona Mtu Anasema Ukweli Juu Ya Madhaifu Ya Kazi Ugali Wake.
Mnaweza mkaangalia reviews za hii kampuni hapa https://www.trustpilot.com/review/remitano.com. na pia mkagoogle, maana najua tatzo ni hiyo link ya kukaribisha rafiki,
View attachment 1214430
Screenshot_20190923-214845.jpeg
 
Ndiyo ni 1xbet
Ni vizuri ukatumia browser kwa sababu hata ukitumia app ya 1xbet lzm itakupeleka kwenye browser.
Kwenye 1xbet nenda kwenye menu alafu uchague live casino.
Itakuleta hapa
Screenshot_2019-09-23-22-33-55.png

Ingia hapo kwenye evolution gaming, itakuleta hapa
Screenshot_2019-09-23-22-46-48.png

Chagua hapo kwenye roulette, utaona magurudumu mengi ila kwa kuanza anzia na auto roulette.
Kabla ujaanza kubet hakikisha unachagua stake kabla ambayo ni vichip vipo upande wa kulia hapo.
All the best aise
 
Back
Top Bottom