Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Thanks D kwa hilo.
Ila hayo maneno niliyoweka red colour, ni kama umeandika kwa huzuni hiv ukijua ni nn kinaeza nipata nikienda huko!
Hahaha kati ya mchezo unaoonekana ni rahisi kupiga hela kwenye macasino ni huu lakini kiuhalisia inabidi huwa makini sana ili uipate hela yake lasivyo utajikuta umepunwa hela zote.
Cha kuzingatia jitahidi kuwa na formula yako unayoitumia ukisema ulifuate linavyoenda utaumia
 
[24/09, 01:08] KING OPULENCE TWO: *m61x5*

_2 odds_

Zira - Qarabag
1X2: Qarabag
1.336 ✅✅✅
Stabaek - Molde
Team 2 To Win At Least One Half: Team Molde To Win At Least One Half - Yes
1.52 ✅✅✅

*mr opulence*
[24/09, 01:10] KING OPULENCE TWO: *gd8v5*

_3 odds_

Besiktas - İstanbul BFK
Both Teams To Score: Both Teams To Score - Yes
1.665 ✅✅✅
Jablonec - Sigma Olomouc
Both Teams To Score: Both Teams To Score - Yes
1.83 ✅✅✅

*mr opulence*
[24/09, 01:12] KING OPULENCE TWO: *5pev5*

_2 odds_

Torino U19 - Roma U19
Total: Total Over (1.5)
1.15 ✅✅✅
VfL Wolfsburg - TSG 1899 Hoffenheim
Total: Total Over (1.5)
1.175 ✅✅✅
Flora Tallinn II - Elva
Total: Total Over (2.5)
1.264 ✅✅✅
Enosis Neon Paralimni - APOEL
Total 2: Individual Total 2 Over (0.5)
1.05 ✅✅✅
Stabaek - Molde
Total 2: Individual Total 2 Over (0.5)
1.14 ✅✅✅

*mr opulence*
[24/09, 01:12] KING OPULENCE TWO: *1xzv5*

_2.25 odds_

VfB Lubeck - VfB Oldenburg
1X2: VfB Lubeck
1.595 ✅✅✅
Etar 1924 Veliko Tarnovo - Vitosha Bistritsa
1X2: Etar 1924 Veliko Tarnovo
1.432 ✅✅✅

*mr opulence*
 
STAKE MKE AU MCHUMBA
1. REAL VALLADOLID VS GRANADA CF 12
2. VERONA VS UDINESE UNDER 2.5
3. DIJON VS OLYMPIQUE MARSEILLE 2
4.REAL BETIS VS LEVANTE 12
5. WATFORD FC VS SWANSEA CITY OVER 2.5
6. COLCHESTER UTD VS TOTTENHAM OVER 2.5
7. PRESTON NORTH END VS MAN CITY 2
8. CLAWLEY TOWN VS STOKE CITY 2
9. LUTON VS LEICESTER CITY GG
10. PORTSMOUTH VS SOUTHAMPTON 2

ODDS MLIMA
 
Wakuu, nimetoa hela betpawa ila haijaja kwenye simu yangu. Masaa karibia 48 sasa. Nachat nao whatsapp wanasema wanashughulikia, nifanyeje nipate hela yangu jamani? Msaada tafadhali wakuu.
 
Wakuu, nimetoa hela betpawa ila haijaja kwenye simu yangu. Masaa karibia 48 sasa. Nachat nao whatsapp wanasema wanashughulikia, nifanyeje nipate hela yangu jamani? Msaada tafadhali wakuu.
Bonyeza link hiii https://www.betpawa.co.tz/help kisha ingiza namba yako kwenye kibox, halafu gonga CALL ME, watakupigia. Alternatively, wapigie kwa namba walizoweka katika page ya link hiyo. Hao wa kuchat Whatsapp sijui kama huwa wanafikisha tatizo la mteja kwa watu wao wa IT
 
Wakuu naombeni msaada. Nilikuwa nje ya mtandao wa mkeka kwa takriban miezi 7. Jana nimeingia 1xbet sioni kampuni zetu kwenye kudiposit. Utaratibu wao umebadilika na unafanyeje kudiposit?
 
😅😅😅😅 karibu tena!
Aksante mkuu. Msaada tafadhali au walishafungasha virago? Nawapenda 1xbet kwa kuwa ukila mkeka wanakulipa hata kama game inaendelea. Hawa wengine mpk game iishe ni michosho.
 
Nipeni marekebisho wakuu
Screenshot_20190924-110244~2.jpeg
 
Back
Top Bottom