Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mm sijaona ubaya wa kutumia Parimatch , bet pawa na Play master , labda huna mbinu za kumla muhind.hata wale wa makaratasi wanamla tu cha msingi uwe na mbinu!!!
 
Mkuu hakunaga kitu ipo 100% perfect.... Hakuna kila moja inachangamoto zake

Kwa kampuni ambayo haikati kodi Parimatch wako vizuri sana
Swala la kitambulisho linakusumbua nini sasa wakati unatuma mara moja tu
Usitumie app yao tumia tu browser yoyote ya simu

Wana game nyingi
Live za kutosha
Market kama zote
Deposit/withdraw ni fasta kama ukisha watumia id
Hawakati kodi, wanarudisha kama bonasi
Wanaweka mpaka ligi kuu bara

Vinginevyo tafuta kadi ya bank inayokubali au tafuta line ya safaricom au tumia bitcoin na ujiunge 1xbet
Hawa ni mabingwa wa betting
 
Kuna mtu aliyetoa pesa 1XBET kupitia card ya bank ya Exim kuanzia tar 19 ??
maana huku kila nikijaribu inagoma.
 
Wakuu anaejua kucheza hii wheel of fortune anielekeze maana nimejaribu tu nimeweka jero nikachagua namba 16,28 na 14 mara likazunguka ikatokea ikatokea 16 nikapewa 6000 sasa sijajua kulicheza
Yaan kwa mfano kwa 500 unatakiwa uchague mwisho namba ngapi na ukila wanazidishaje siekewi wakuu naona nimejaribu wamenikaribisha vizuri
 
Statistics za sub toka la liga weekend hii,kati ya game 9 zilizotoa HT under 0.5 ni 8 na zilizotoa FT over 5.5 ni game 8 pia,odd ni 1.2 per match.
Unaipata kampuny gani hii option nimeangalia play master sijaiona ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…