Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ok nimekuelewa, kujihami muhimu.
Binafsi natumia bank cards ku-deposit na ku-withdraw. Sijawahi kutumia skrill.
 
: *👑DINO👑*

THURSDAY 26/09/19 15:45

Iran 🇮🇷 Pro League (1)
PERSEPOLIS FC
SEPAHAN ESFAHAN
ht X


: Milan- X10mins
Celta vigo - X10mins
1.30odd
 
Kwani bank cards bado zinakubali ku withdraw?
Kwani zilizuiliwa?
Binafsi natumia bank 2 tofauti kwenye akaunti tofauti na zote zinakubali.
Moja bank ya nje inachukua siku 14 mpaka nipokee pesa, nyingine ni prepaid card ndani ya lisaa tu muamala unasoma
 
Kwani zilizuiliwa?
Binafsi natumia bank 2 tofauti kwenye akaunti tofauti na zote zinakubali.
Moja bank ya nje inachukua siku 14 mpaka nipokee pesa, nyingine ni prepaid card ndani ya lisaa tu muamala unasoma
Yaap prepaid card ya Exim inagoma sahivi.

Bank gani ya nje?
 
Laki nzima unakatwa kodi wakati kuna. Makampuni haukatwi kodi .. Na unaona sawa tu ... Hao M-BET /sportpesa waliwarogajeeee.....
Wametuloga dakika 0 baada ya mechi tu kuisha,mpunga unaingia,dakika 0 hiyo hiyo,umeshahamisha m_ pesa,dakika 0 hiyo hiyo umeshatoa hela iko mfukoni ,mi hapo tu ndio waliponiloga,kulipa kodi ni uzalendo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…