Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Hatimaye pesa yangu imerudi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123]View attachment 1217706
"Other markets" mwishoni.MSAADA
Wadau mnaotumia PM....Nisaidieni jinsi ya kupata option ya Over ya substitution au under naipatia WAP.....nikiitafuta siioni.
#Please
MSAADA
Wadau mnaotumia PM....Nisaidieni jinsi ya kupata option ya Over ya substitution au under naipatia WAP.....nikiitafuta siioni.
#Please
BetpawaApp gan hii??
Ila hawana app unaingia kwa browser moja kwa moja ni wazuri kinyamaBetpawa
Nachezaga magoliIla hawana app unaingia kwa browser moja kwa moja ni wazuri kinyama
Wale wajinga wameondoka na hela yangu pia hapo jana, sijui droo ya Handball imekujaje..walitoka 29-29, I felt crying for really!Handball dingilai .... Leo ndio nimekutana na sare ya Guiff ya sweden kubaaabanyeee... Halafu nilishafika siku ya 5 nivune ...maaaaamaaaae
Ushauri wenu kabla sijajiripuaView attachment 1217828
Nimeisha weka boss, hii ndo maana ya kubet,Mimi pia nataka niweke M hapo ila kuna kitu kinaniambia tunza pesa yako