Troyes
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 1,405
- 1,197
BET WOOOON ndo raha ya handball
BET WOOOON ndo raha ya handball
Never ever give up mkuu, one day YES!Dah! Timu 2 Kati ya 11 zimenikosesha mamilioni, View attachment 1213956
Aliefata tukutane kwa muuza supu mapema kabisa kabla supu haijapoa.
View attachment 1213916
Kweli kabisa mkuu, ukiwin pesa nyingi lazima uchukue tahadhari kwa kuwa watu wa kampuni wana uwezo wa kufutilia mbali akaunti yako wakasepa na hela zote. Na sio screenshot tu ikibidi hata uchukue video kabisa. Wezi wapo kila mahali.Wataalam wa kubet wanatushauri kuscreen shot mikeka yetu ili kusaidia kwenye ushahidi yanapotokea mambo kama haya.
Tena sio mkeka tu, unashauriwa kuscreenshot hata akaunti yako.
Sasa fikiria kama potential winning ingekuwa milioni 11 ungepata mil 6.8 tu, mil 4 kwaheri.
PITA NA HIIView attachment 1217965