Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Huyu mancity safari hii dah!
Siwaelewi kbs ... second half mpk dk hii hawana "shot on target" hata moja. Asije akachomoa betri.Huyu mancity safari hii dah!
HiyoMwenye namba za wsp za parimatch naomba
Mi mambo yaligoma upepo umekata naliwa sana ,mpaka nimestahafu nilikua nakula zamaniNa tunamla pia kimyakimya..
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]Maombi yenu nitakua na kahuduma kakugawa mtaji nikishinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1217962
Wanangu Dortmund wamefanya yaoNa huo mkeka unao utilia mashaka ndio wakufuata aisee.
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]Maombi yenu nitakua na kahuduma kakugawa mtaji nikishinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1217962
Wa kwanza bado mmoja umeshikiliwa na ajax +gentGoma la ushindi
Juventus win & 2+(total)
Chelsea win or draw & 2+
B/Dortmund 3+
B/Munich 3+
Salzburg 3+
Tukutane saa 2 kasoro
Mkuu unatoa kwanjia ganiWa kwanza bado mmoja umeshikiliwa na ajax +gentView attachment 1218316