Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ilikuwa jana. Tune na leo tuone tunatokaje.
20190928_215147.jpg
IMG-20190928-WA0030.jpg
20190929_114253.jpg
 
Yule jamaa aliyeletaga hii option ya substitution namshukuru kwa kweli maana ukiwa na mtaji mkubwa hukosi pesa kwa kweli, ndo raha ya betting kila siku unakutana na mbinu mpya za kumpiga kanji Ila hii ya total sub ningekuwa naijua tangu mapema huyu kanji nahisi tungekuwa tunaenda sambamba kwa kweli!! Nilianza na hii option nikapata vipigo kama mara tatu hivi mfululizo but sikukata tamaa but this option is the best kwa kweli!!

League ya England niliogopa kufuata maana huwa wanamaringo sana kutoa sub mapema na ukiangalia game mbili Leo zimetoa sub under 5.5, game ya Liverpool na game ya Watford, Ujerumani niliwafuata na wote wametoa sub zote 6, Italy na wenyewe game mbili za kwanza zimetoa na ya tatu ambayo inachezwa najua itatoa pia, ufaransa zimetoa karibu zote isipokuwa game ya PSG, nilichokugundua nikuwa team ikiwa na majeruhi mengi kufanya sub 6 zote inakuwa ngumu kutokana na kukosekana replacement ya position ya mtu Fulani ambayo anaweza kuitendea haki, na wakat mwingine kocha anawaacha wachezaji ambao hawajacheza dk 90 muda mrefu wacheze. Lakini haya mambo huwa hayatabiriki maana wakati mwingine ni ngumu kujua nani ataanza na nani hatakuwepo kwenye kikosi maana wengine huwa wanapumzishwa tu!!

By this is betting hakunaga sure option kabisa Leo unaweza ukapatia kesho ukaangukia pua but cha msingi ni kutokata tamaa!! Nikupambana tu mpaka kieleweke!!
So sad game ya watford ndio imeniumiza leo kwenye sub. Ila spurs ya mwisho ilikuwa ya wanyama dkk ya 90+3
 
Huwezi kosa pesa ukichukua baadhi apa

Direct win

Fc Basel 1
Connah Q 1
PSV 2

Over 2.5
Rapid Vienna
Lazio
D/Kyiv

Double chance

Leicester 1x or win either half
St. Liege win or draw & over 1.5
Ludogorets win or draw & over 1.5

Btts-Yes
V/plzen vs S/Prague
Az alkmaar vs herarcles
 
Back
Top Bottom