Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Hata Germany nao leo mwenzie Freiburg nae kashazingua.Pole sana mkuu EPL niliwakagua nikaona wanafanya sub kimagumashi so sikutembea nao Jana kabisa...Leo nimetembea na team 10, 5 tayar zimeshatoa 5 zingine nazisubiria. Nimetembea league ya Italy, Hispania, uholanzi, na German huku ndo angalau team zinakuwa zinafanya sub sana