Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bancabc wana mawakala wao baadhi ya maeneo hapa Dar... Vilevile unaweza kuweka pesa kwa kutumia tigo pesa, mpesa, halopesa, Airtel money bila tatizo lolote tena faster tu...
Mim niko huku duniani ndy mana nauliza..kwa hapa Moshi hakuna ofisi zao ila Arusha ndy ipo ndy imebd niulize ili kama kwa line ya simu itawezekana..vp makato yao kwa huduma za simu
 
Nilibet kwa 15000 na nimepewa free bet ya sh. 15000 so hakuna loss hapa ndo unaona raha ya playmaster unapoweka game kuanzia 10 na moja ikaloose
Mkuu pm bet kutoa pesa hakuna shida? Je waweza toa kupitia mpesa, tigpesa nk?
 
Makato ya kutuma kutoka tigo pesa au mpesa kwenda kwenye card yako ni ya kawaida tu tena kama kwa halopesa ni cheep sana 19000 wanakata 1000,kutoka kwenye card yako kwenda 1xbet ni free transaction
Mim niko huku duniani ndy mana nauliza..kwa hapa Moshi hakuna ofisi zao ila Arusha ndy ipo ndy imebd niulize ili kama kwa line ya simu itawezekana..vp makato yao kwa huduma za simu
 
Makato ya kutuma kutoka tigo pesa au mpesa kwenda kwenye card yako ni ya kawaida tu tena kama kwa halopesa ni cheep sana 19000 wanakata 1000,kutoka kwenye card yako kwenda 1xbet ni free transaction
Vp si ninaweza pia kutoa kupitia mpesa..yan hela itoke kweny card ije kweny line ya simu mfn mpesa ili niipate
 
Arsenal marufuku kufungwa kesho[emoji6][emoji6][emoji6]umebaki wewe tu...
Screenshot_20190929-234459_1xBet.jpeg
 
hiyo ikoje mkuu mbona Mimi treni LA timu 20 inachana moja na sirudishiwi stake yangu
Jungle Fighter amejibu vizuri,pia uwe unarefresh kwa ile "CHECK" mikeka yako,,bilashaka unatumiaga na units kubetia,,zile zinazoongezeka kila baada ya kuplace bet na ku cancel bet,sindio?
 
Back
Top Bottom