thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
Ndiyo mkuuKumbe hata zikianzia game 10 alafu ikalose 1 unapata freebet
Ndiyo mkuuKumbe hata zikianzia game 10 alafu ikalose 1 unapata freebet
Bora ndege mmoja mkononi kuliko kumi wa msituni. Turbo hyo hela betting site nying wamempa doublechance man u.Arsenal marufuku kufungwa kesho[emoji6][emoji6][emoji6]umebaki wewe tu... View attachment 1219155
Hata zikianzia tano pia kikubwa odd zianzie 1.35 kwa hizo game tano kwa kila matchKumbe hata zikianzia game 10 alafu ikalose 1 unapata freebet
Kwa game 5 hua nafaham mkuu pia nilkua nafaham kwa game 11 kumbe hata 10 naona kama majukumu yanazd kupunguaHata zikianzia tano pia kikubwa odd zianzie 1.35 kwa hizo game tano kwa kila match
Odd za hip match wanazitoa wanakulipa kW match zilizobakiaMechi ikiwa postponed kwa parimatch utaratibu wao upoje?
Jana mechi y zamalek ili hairishwa ila Leo wamenilipa km kawaOdd za hip match wanazitoa wanakulipa kW match zilizobakia
Bora ndege mmoja mkononi kuliko kumi wa msituni. Turbo hyo hela betting site nying wamempa doublechance man u.
Mechi ikiwa postponed kwa parimatch utaratibu wao upoje?
Haw parimatch noumer juz game ya GENK kumbe haikuisha ikaahirishwa, sasa nilicheza 2+ na magoli mawil yakaingia mapema tu mkeka ukawa green nikavuta mpunga nikalala, asubuh naamka naluta account inasoma NEGATIVE nadaiwa kumbe waliiondoa baadae wakakuta mpunga nishavuta[emoji23][emoji23][emoji23]Jana mechi y zamalek ili hairishwa ila Leo wamenilipa km kawa
Hahahaha....mm account yangu ya kwanza ina negative 38000 na sijui niliipatia wapi!! So niliamua kufungua account nyingine kwa namba nyingineHaw parimatch noumer juz game ya GENK kumbe haikuisha ikaahirishwa, sasa nilicheza 2+ na magoli mawil yakaingia mapema tu mkeka ukawa green nikavuta mpunga nikalala, asubuh naamka naluta account inasoma NEGATIVE nadaiwa kumbe waliiondoa baadae wakakuta mpunga nishavuta[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata zikianzia tano pia kikubwa odd zianzie 1.35 kwa hizo game tano kwa kila match
Badilisha upepo mkuuAiseee mikeka inachanika Sana siku hizi
hata kwa game tano ww ikuwa una odd ya 1.20 huwa unapewa free bet?So kwa game tano kama odds 1.2 kwa kila mechi mkeka unakuwa umechanika. Maana sheria yao hata siielewi wanasema odds iwe kuanzia 1.35 ndo unapewa free bet but game nazocheza odds huwa 1.2 na napewa freebet...hapa mkuu imekaaje
1. Kama umekariri kubet kwenye soka tuu lazima ulalamikeAiseee mikeka inachanika Sana siku hizi