Kingkorlar
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 875
- 996
Leo naona supabet wanazngua katika suala la kutoa pesa
Yah!! Mambo ya sub hayo yanaendelea kunipa pesa......View attachment 1220243View attachment 1220244
Mkuu maana ya Sub tafdhaliGame za za kesho upande wa sub hizi hapa total odds 2.49... @troublemakerView attachment 1219937
Hapo inabd huwe macho coz wanaweza hata kuchang mkekaHivi mtu unaweza kweli kubet M-bet na ukala?
Mkuu ww shabiki wa mpira kweli?Mkuu maana ya Sub tafdhali
Mkuu ww shabiki wa mpira kweli?
Yaani hujui substitution? Serious?
Yah!! Mambo ya sub hayo yanaendelea kunipa pesa......View attachment 1220243View attachment 1220244
PlaymasterMkuu kampuni gan ii nami nijiunge nifate huu mkeka
Sub woofer[emoji16][emoji16][emoji16]Kidhungu icho
Kila siku pesa ziko, sema ngumu kuziona zipo upande upiLeo kuna Hela.
Kweli mkuu! Unajua unaeza pata hata milion 10+kwa siku kwa kubet tuuu..sema haiwezekani tuuKila siku pesa ziko, sema ngumu kuziona zipo upande upi
Umefanya kosa mkuu. Arsenal anauwa mtu. Utajutia hiyo badae
Hivi mtu unaweza kweli kubet M-bet na ukala?
Mkuu kampuni gan ii nami nijiunge nifate huu mkeka
Mkuu naomba ufafanuzi waoption ya Sub.....nitag tafadhali
Pm bet ndo boraKwema, Nimepamiss hapa......Hivi uko Betpawa pazuri kweli?