Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1569925499234.png

Jaribu hapa stake ikianzia elfu 50 na kuendelea sio mbaya
 
Game zote UEFA leo

UNDER 5.5goal

Odd 4.5

Weka nyumba kabisa, usubili gorofa kwa wakala
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Hapo Game ya Liverpool na ya Man city zitakuchania Mkuu....tena hata ya Lyon na ya PSG
 
Watoto wa UEFA naona goli za kumwaga, sasa sijui baba zao ucku wataiga mfano huu tujilipue kwa 2+
 
ni kampuni gani yenye michezo mingi ya basketball nataka nipumzike football maana ni vipigo tu
 
ngoja tuone mwisho wa hili treni .
 
Attachments

  • Capture.JPG
    Capture.JPG
    47.2 KB · Views: 21
  • Capture.GIF
    Capture.GIF
    61.6 KB · Views: 23
Back
Top Bottom