Sub= substitution hii ni option ya kufanya mabadiliko ya wachezaji uwanjani kwa kawaida kwa sheria iliyopo sasa sub huwa zinafanywa 3 kwa kila team so ikitokea team zote zimefanya sub inamaana total sub inakuwa 6. Na Mara nyingi huwa zinaanza kufanyika kipindi cha pili, kipindi cha kwanza sub Mara nyingi hufanyika endapo kuna mchezaji ameumia na hawezi kuendelea na mchezo ukifutailia game nyingi za week iliyopita first half sub zilikuwa zinatokea sana so kama unabet its better usibet first half bet full time kidogo ni nafuu,, na hii option kwa bet za hapa bongo nimeona ipo play master kama kuna site nyingine watasema Ila kwa sasa mm natumia hii play master....
Kingine hii option huwa inapatikana kwenye league kubwa kama UEFA, EUROPA, Ligu kuu Hispania, Italy, uholanzi, Portugal, england, ujerumani . Hizi ndo seehhemu ambazo unaweza kupata hii option!!
Kingine uchambuzi pia ni muhimu sio kwamba unakuwa unaweka tu ukiamini sub zitafanywa, hapana lazima uangalie na status ya team hata mechi 4 kwenye upande wa kufanya sub maana kuna team zingine unakuta huwa zinafanya sub 2 tu na hii huwa inatokea endapo kuna majeruhi au kuna big game ahead so anapumzisha wachezaji wale wa kikosi cha kwanza baadhi na kuwapa wengine wachezeje full dk 90.
So point ya hapo juu ni kuwa hakuna option rahisi kwenye kubet maana kuna watu wanaweza wakawawanahisi hii option ni rahisi, umakini unahitajika sana gudluck to those ambao tutakuwa tunampiga kanji kwa njia hii....
wale wa basketball NBA INAANZA tareheehhe 23/10/2019 na wachina wanaanza around 25/10/2019 so tujiandaye pia maana huko nako ni uwanja wa pesa