Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

katka zama hz, kanji atatafuna sana watu, hasa wale wakuaminia, direct win, me nashukur kwakwel, tangu mancity akanyagwe na Norwich, hata nikute timu ina odds 1.03 VS 32.4, sina imani kbs,, leo Madrid, anaeza akafa kwakwe..!!!!
 
Madrid anaweza pata matokeo
Mashuti golini yanalingana...atafunga lakin hawezi kupata matokeo. Ingawa muindi hamwamin brugge coz ingawa anaongoza bado odds mlima 1.60 kama unaroho mgumu na unaamini UEFA chukua hizo 1.60
 
Mkeka hewa, nilikuwa nauogopa [emoji848][emoji23]
Screenshot_20191001-180832.jpeg
 
Man u weupe wanacheza leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nkupe exprience ya hizi option, mm sion ubaya wa direct win , mfano mdogo mechi ya ktp jana ilitoA goal moja over ilikuwa na odd ya 1.30 na direct win kwa bet pawa 1.61
Mechi ya utrech imeishi magoal mawil so kuna sometime direct win ina nafas yake , japo magoal ni more safe
 
Madrid wiki iliyopita alikuwa na odd 1.25. Leo zikapanda mpaka 1.33, nikasema leo kwa odd hizi Madrid anaua mtu. Ajabu nikapita sehemu kuchungulia nikakuta hii game ya Madrid haipo kabsa katka uchambuzi, daah nikajua hawa jamaa basi leo wanachana mikeka.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom