Mashuti golini yanalingana...atafunga lakin hawezi kupata matokeo. Ingawa muindi hamwamin brugge coz ingawa anaongoza bado odds mlima 1.60 kama unaroho mgumu na unaamini UEFA chukua hizo 1.60Madrid anaweza pata matokeo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fala tu huyomadrid sjui kwann nlimpa direct win jaman na ndo nlimuamin nkija mechi ya kwanza kapoteza hii ya leo atashinda kumbee... mhh
Tafuta VIP hutajutia..
Bro kule unalizwa zaidi...ni bora ujiwekee mkakati wako unaoumudu wa kubet ili ikulipe kwa kias fln!Mkuu Honestty vipbest.com ndo yenyewe ama?
Kaka, kuna kitu cha ziada nakitafuta.Bro kule unalizwa zaidi...ni bora ujiwekee mkakati wako unaoumudu wa kubet ili ikulipe kwa kias fln!
Kaka hicho cha ziada unachotafuta "Utakipata"Kaka, kuna kitu cha ziada nakitafuta.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Madrid wiki iliyopita alikuwa na odd 1.25. Leo zikapanda mpaka 1.33, nikasema leo kwa odd hizi Madrid anaua mtu. Ajabu nikapita sehemu kuchungulia nikakuta hii game ya Madrid haipo kabsa katka uchambuzi, daah nikajua hawa jamaa basi leo wanachana mikeka.
Ha ha ha ha ha haKaka hicho cha ziada unachotafuta "Utakipata"
JAMAA WANACHEZAGA KAMAMadrid ananilaza na Ndula.