Wamebadili mfumo, Fanya deposit tena mambo yatakuwa poa, maana ulitumia mfumo wa samani ambao wameuondoaOooohh
Yan nilivyoweka mara ya kwanza haitoshi, sasa nataka kutoa, natakiwa nishawishi utoaji kwa kuweka tena hela kiasi?
Tired with this limits.. Ohh🙂🙁🙁
Fanya kutembelea site yangu (https://waptanbet.com) huwa nakua on fire sometimes!Ni Website gani nzuri kwa Free Betting Tips?
Ksho na withdraw ela yangu na kuwahama...sitaki ujinga kuna mdau alisema wako poa kumbe ovyo basiHopefull Hawana
Miaka inavyokwenda betting nayo inakua ngumu mmnoMan city alikuwa na odds uchwara lakini mpaka sasa anakata tu mauno kama nabii tito.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] leo ni siku ya kuliwa [emoji23][emoji23][emoji23]Man city nahitaji kona 5 ht dk ya 41 hii kiaz ww na kona zenu 2 tuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Man city alikuwa na odds uchwara lakini mpaka sasa anakata tu mauno kama nabii tito.
Man u weupe wanacheza leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana kwa wale ambao hatuna shobo na mechi kubwa pamoja na ligi kubwa kubwa first half sisi tunapeta tu yaani ubatizo wa moto unatupitia kushoto kbs[emoji1787][emoji1787][emoji1787] leo ni siku ya kuliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa una taka kubet uka kuta ghafla odds za timu fulani zime ongezeka achana na hiyo mechiMadrid wiki iliyopita alikuwa na odd 1.25. Leo zikapanda mpaka 1.33, nikasema leo kwa odd hizi Madrid anaua mtu. Ajabu nikapita sehemu kuchungulia nikakuta hii game ya Madrid haipo kabsa katka uchambuzi, daah nikajua hawa jamaa basi leo wanachana mikeka.
Kweli mkuu mi nawashangaa watuMara oooh direct win zinaongoza kuchana mikeka ukweli ni kwamba betting ni bahati tyuuu