PmbetKampuni gani wanacheza sub niifate
Chelsea ana drwLeo naweka buku ten tuu
Slavia Prague vs Borussia dortmu -2
Genk-Napoli ---2
Liverpool. Vs Salzburg---1
Barcelona Vs inter--1
Nb Chelsea Leo atapigwa gori nyingi zaidi ya zile za majinga Yale Tottenham
Chelsea ana drw
takemawords
Jamaa.kibarua kinaota saayoyotee
Samatta ana kadi nyekunduGoal la Mbwana Samata lina thamani ya odds 3.05
Wadau mnaonaje kuvaa hili bomu jumla jumla!
Samatta hana kadi nyekundu coz walicheki kwenye var waliifutaSamatta ana kadi nyekundu
kwa hiyo mrusi amekuwa mzembe wa kufuatilia taarifa za wachezaji kiasi cha kumweka mchezaji mwenye red card?Samatta ana kadi nyekundu
Sio mzembe wale wanajua wanachokifanya wanatafuta hela wao wanaweka wachezaji wote kama utajichanganya mwenyewe wanapita na mpunga wakokwa hiyo mrusi amekuwa mzembe wa kufuatilia taarifa za wachezaji kiasi cha kumweka mchezaji mwenye red card?
Kama waliifuta sawa, uwezekano wa Samata kufunga ni mkubwa maana game ina magoli mengi si chini manneSamatta hana kadi nyekundu coz walicheki kwenye var waliifuta
hata hivyo ukimchagua mchezaji afunge goal then asipoingia kabisa uwanjani, hauliwi bali refund inakuhusu.Sio mzembe wale wanajua wanachokifanya wanatafuta hela wao wanaweka wachezaji wote kama utajichanganya mwenyewe wanapita na mpunga wako
Wewe ndio unatakiwa ufuatilie
Yaa kuna mdau amesema ilifutwahata hivyo ukimchagua mchezaji afunge goal then asipoingia kabisa uwanjani, hauliwi bali refund inakuhusu.
Pia Mbwana Samata hana red card.
Mkuu kumbe tumeumia wengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji36][emoji36][emoji36]Dahh madrid kipusa sanaView attachment 1221374
3.5Over/under, inasimama badala ya goli ngap
Hahah. Unmmenikumbusha yule mkuu wangu wa mkoa pendwaGoal la Mbwana Samata lina thamani ya odds 3.05
Wadau mnaonaje kuvaa hili bomu jumla jumla!
haha! Agrey Mwanry!Hahah. Unmmenikumbusha yule mkuu wangu wa mkoa pendwa