Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Genk 1half kajitahidi kukaza ngoja 2half nahamini mungu atatenda miujiza Genk itapata gol
 
Ukitaka siku moyo wako au nafsi icheke chukua karatasi au cheza fastbet na usilipie mkeka alafu uje uangalie matokeo utapata majibu
 
Sioni dalili ya Genk Kushinda hii game.

Zaidi zaidi
hii game itatoa kona nyingi mno maana wote wanategemea sana mipira ya cross kupata matokeo.
 
Game ya Genk GG nayo siioni kabisa
Aiseee
Siku ya kufa nyani
 
Duh Napoli nyie mnanikosesha hela tena mnakuwa kama real Madrid
Napoli anashinda ushindi mwembamba hii game. Wahi hizi Odds
Screenshot_2019-10-02-21-26-42.jpeg
 
Back
Top Bottom