Clear??acha utani mzeeOdds 5 clear kabisa hizi View attachment 1221643
hii pesaLeo nimetoka hivi kwa wale wapenda option ya sub. View attachment 1221509
You Just take the first step in faith bro.Clear??acha utani mzee
Mkiliwa mnakuja humu kulalamika vipigo vimezidiLeo naweka buku ten tuu
Slavia Prague vs Borussia dortmu -2
Genk-Napoli ---2
Liverpool. Vs Salzburg---1
Barcelona Vs inter--1
Nb Chelsea Leo atapigwa gori nyingi zaidi ya zile za majinga Yale Tottenham
ayaaa Chelsea nimempa direct win mbona unanikwanza mzee mapema hivyo....duuuuhMkiliwa mnakuja humu kulalamika vipigo vimezidi
Bro usoamini kwenye direct win shiling hua linapinduka mda wowote
refresh balanceHawa PLAY MASTER wajinga sana lisaa linapita sasa nime deposit hakuna pesa kwenye wallet dahhh
Game nyingi sana hizo mkuu
Mkuu mbona hii sub over 5.5 kwa game hii odd zipo juu sana kwenye 1xbet?Leo nimetoka hivi kwa wale wapenda option ya sub. View attachment 1221509
Ondoa Shaka, hiyo ni Ela kabisaOdd za Liverpool zina nitisha ukilinganisha na timu anayocheza nayoView attachment 1221823
Ondoa Shaka, hiyo ni Ela kabisa