Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Martines na Llorente hawakuanza nilipoona tu kikosi nikahairisha kumbetia napoli.
 
Borussia Dortmund nae over 1.5, imemshinda asee kazi kweli kweli.
 
Game ya Napoli dunia nzima ilijua kutakua na mvua. Watu wakauziana mechi na makampuni ya kubeti ili yatokee kama haya yaliyotokea. Kwenye betting kuna mchezo mchafu Sana
 
Inplay ilinishinda kabisa
Hapo sasa ... yani Over 1.5 siioni hapa kwa Genk/Napoli. Second half dk ya 75 sasa hakuna shot on target hata moja.

Kuna upepo unapita mbaya sn kwny hii biashara. Dawa kwenda nao sawa InPlay
 
Game ya genk vs Napoli mikeka yangu ifuatayo chalii
First half over 0.5 [emoji777]
Napoli win [emoji777]
GG [emoji777]
Over 2.5 [emoji777]
Sub over 5.5 [emoji777]
 
Hahahaha aaahhaaaahaa
Siyo kwamba nimefurahi sana, lahasha hiki ni kicheko cha huzuni, inafika wakati sasa hata kulia unashindwa pamoja na kwamba kichapo ni kikubwa unachopata.
Napoli hata over 0.5 hakuna?
 
Daaah acha kabisaa leo ck mbaya aisee.
Game ya genk vs Napoli mikeka yangu ifuatayo chalii
First half over 0.5 [emoji777]
Napoli win [emoji777]
GG [emoji777]
Over 2.5 [emoji777]
Sub over 5.5 [emoji777]
 
Game ya genk vs Napoli mikeka yangu ifuatayo chalii
First half over 0.5 [emoji777]
Napoli win [emoji777]
GG [emoji777]
Over 2.5 [emoji777]
Sub over 5.5 [emoji777]

Hata kadi za njano 1.5 over zimegoma
 
Mwenye mkeka wa kufungia siku atume asee. Mwanaume halali na pesa analala na maumivu
 
Back
Top Bottom