Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

It wasa nice doing business with you willian asante sana good bet good money......kanjii huyu kumla ni bahati,hamna cha ufundi wala nini jana nimemka kwa second halaf more leo direct win mamelod atiinkapewa 2.12 dharau hizi alhaly 1.4 pesa ya bure kabisa dortmund 1.9 good odds plus live 1.3 aise.....kanji hana formula ni upepo tu
 
Hiyo hapoView attachment 1222185View attachment 1222186View attachment 1222187View attachment 1222188View attachment 1222189
Screenshot_2019-10-03-00-02-14.jpg
 
Dah imeshnda ila kW mbinde hii kwel uefa
 
Attachments

  • Screenshot_20191002-235638.png
    Screenshot_20191002-235638.png
    26.3 KB · Views: 24
KELOWNA ROCKETS V TRI-CITY AMERICANS

Double Chance (1st Period): 12

1.38

EDMONTON OILERS V VANCOUVER CANUCKS

Double Chance (1st Period): 12

1.42

ST. LOUIS BLUES V WASHINGTON CAPITALS

Double Chance (1st Period): 12

1.42

ODDS 2.76
Tukutane asubuhi
 
Mambo matano niliyo gundua leo kwenye uefa!
1.salzburg ni team hatari sana kwa sisi wa kamari kwenye league to avoid sana ku m limit magoli
2.ajax wamekomaa wameiva sana...hata mwaka huu watafanya makubwa wanapiga mpira wa kitabuni haswa
3.chelsea gg ni better option kw sasa zonal making kwake bado ni tatizo atafunga na kufungwa sana
4.napoli siyo league siyo uefa mara nyingi akikukosa first hald huwa anafungwa mwishoni au sare rejea game ya Cagliari' na genk
5.kanji sometimes anatu ogopesha na odds ,team inauwezo atii inapewa 5 ajax ,lyon mamelod anacheza na kibonde anapewa 2 ili tuogope
 
Unapo ona ana cheza
Ajax
Salzburg

Wewe tia over 2.5 ni uhakika saaaaaaaana kama anavo semaga professor mzee wa 10 min draw
 
Mmoja ameninyima hela ya maana
KELOWNA ROCKETS V TRI-CITY AMERICANS

Double Chance (1st Period): 12

1.38

EDMONTON OILERS V VANCOUVER CANUCKS

Double Chance (1st Period): 12

1.42

ST. LOUIS BLUES V WASHINGTON CAPITALS

Double Chance (1st Period): 12

1.42

ODDS 2.76
Tukutane asubuhi
 
Jana nimekula Loss za kutosha!
Chagua timu chache kama 3,4 or 5 harafu unatupia Twenty or ten or Five thousand hutajuta,,,,juzi nilimpiga hivyo hivyo Jana napo nikampiga japo kwa mbinde sana maana nilijuwa nimeliwa ila Barcelona wakafanya changes
 
Back
Top Bottom