Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kubet bwana ni strategies tu
Fateni formula yangu tu matokeo mtakayo yapata naamini mtayapenda

Rule no 1 usibeti ligi kubwa,mechi kubwa
Rule no 2 double chance first half

Apo una select timu zako tano unapata 2odds yaani hapo wewe kilio utakisikia kwa jiranii
Share za leo
 
unazungumziaje leo man united kupewa 2
Mambo matano niliyo gundua leo kwenye uefa!
1.salzburg ni team hatari sana kwa sisi wa kamari kwenye league to avoid sana ku m limit magoli
2.ajax wamekomaa wameiva sana...hata mwaka huu watafanya makubwa wanapiga mpira wa kitabuni haswa
3.chelsea gg ni better option kw sasa zonal making kwake bado ni tatizo atafunga na kufungwa sana
4.napoli siyo league siyo uefa mara nyingi akikukosa first hald huwa anafungwa mwishoni au sare rejea game ya Cagliari' na genk
5.kanji sometimes anatu ogopesha na odds ,team inauwezo atii inapewa 5 ajax ,lyon mamelod anacheza na kibonde anapewa 2 ili tuogope
 
Presha ya vipigo sio sisi tu hata kwa wenzetu
Screenshot_20191003-135225.jpeg
 
Hatimaye naanza kufuzu
 

Attachments

  • Screenshot_20191003-135025.png
    Screenshot_20191003-135025.png
    16 KB · Views: 35
Naomba kujua ni kampuni gan ya betting ukiondoa betpawa na 1xbet yenye kuweka mechi kutoka mataifa ya Africa?
 
► 🔹League:Euro U19 Women
► 🔹Time : 18.00
► 🔹Match: GermanyU19 - AlbaniaU19
► 🔹Tips : 1/1✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
► 🔹Odds : 2.00(Bet365)

► 🔹League:Euro U19 Women
► 🔹Time : 18.00
► 🔹Match: GermanyU19 - AlbaniaU19
► 🔹Tips : 1&3+ Goals✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
► 🔹Odds : 3.10(Bet365)

► 🔹League:Euro U19 Women
► 🔹Time : 18.00
► 🔹Match: GermanyU19 - AlbaniaU19
► 🔹Tips : 4+ Goals✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
► 🔹Odds : 3.95(Bet365)
 
Wazee wenzangu wa kubeti tukutane hapa............kuna uzi jukwaa fulan kama sio Chitchat itakuwa Sports forums..kaulizie huko utapata jibu haraka sana
 
Ogopa sana timu kubwa ikiwa away then ikawa na odd kiduchu. Chini ya 2.

Jana napoli nilikuwa nampita kama simjui + na Dortmund na ukizingatia walikuwa wanacheza mapema.

Jana hela illijificha kwa ajax halafu alikuwa na odd mlima 2.66+ na ilikuwa kuna 99.99℅ za ajax kuscore goal kuanzia mbili chelsea, lyon alikuwa na odd 3+ mpaka nilishangaa.
 
Na vpigo vp ukumbuke na vyenyew vpo sna tu.
Nilisema taacha kubet ila naona ni ngumu sana kama mvuta sigara kuacha au mla unga kuacha,,, ila unaweza kuachaje kwa mfano yani unaweza ten or twenty harafu unashinda laki or above laki,,, Mie naona hata maisha simple tuu huku unapokea salary wakati huku unapata hela za food na bia na pamba vijana tupambane
 
Back
Top Bottom