The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
1xbet yan kila ligi duniani hata zile za mchangani sana wana mech zao..Hapo hela ipo, magori hayafiki manneView attachment 1222730
1xbet yan kila ligi duniani hata zile za mchangani sana wana mech zao..Hapo hela ipo, magori hayafiki manneView attachment 1222730
Hata playmaster mechi ya YANGA ipo1xbet yan kila ligi duniani hata zile za mchangani sana wana mech zao..
Tatizo lipo kwenye kuweka na kutoa pesa1xbet yan kila ligi duniani hata zile za mchangani sana wana mech zao..
2-3 now dahHapo hela ipo, magori hayafiki manneView attachment 1222730
Hakuna kitu humo..nitafutie hiz huko playmasterHata playmaster mechi ya YANGA ipo
Over 5.5 odd 10 loooh...kungekua na uwezekano wa kupiga ramli mechi yyte ile tungekua mayajir hatar.Hapo hela ipo, magori hayafiki manneView attachment 1222730
Tatizo sio mrusi Bali serikali yako mzeeTatizo lipo kwenye kuweka na kutoa pesa
Hapo mrusi alituweza aisee
😀😀😀😀Jinsi ya kutoa hela kutoka Urusi mpaka kukufikia mkononi bila kutumia gharama.
1. Withdraw kutoka kwa mrusi hadi kwenye kadi yako ya VISA
2. Ikishaingia nenda kwa mfanyabiashara yeyote mwenye LIPA hapa na SELCOM/MASTERPAS, mwambie kabisa unachotaka kufanya.
3. Ingia kwenye menu ya kadi yako kisha fata utaratibu wa kulipia
4. Umekwepa 20% ya serikali, umekwepa kodi ya kutoa kwa mpesa, atm pia. Haya mpoze buku mwenye selcom.
Mbn njia ziko nying bwana LauryTatizo lipo kwenye kuweka na kutoa pesa
Hapo mrusi alituweza aisee
Anawasalimia sioDar Young African
Naona kwa mrusi Withdrawal via VISA iko temporaly unavailable! Au huko kwenu shwari??Jinsi ya kutoa hela kutoka Urusi mpaka kukufikia mkononi bila kutumia gharama.
1. Withdraw kutoka kwa mrusi hadi kwenye kadi yako ya VISA
2. Ikishaingia nenda kwa mfanyabiashara yeyote mwenye LIPA hapa na SELCOM/MASTERPAS, mwambie kabisa unachotaka kufanya.
3. Ingia kwenye menu ya kadi yako kisha fata utaratibu wa kulipia
4. Umekwepa 20% ya serikali, umekwepa kodi ya kutoa kwa mpesa, atm pia. Haya mpoze buku mwenye selcom.
Anatuambia tusirudie tena! kuweka pesa zenu kwake kama timu pinzani ina mshambuliaje aina ya D.NchimbiAnawasalimia sio
Nilikuwa natumia safaricom, nayo naoana bila bila saivMbn njia ziko nying bwana Laury
Na Kwangu Pia Mkuu Tangu Asubuhi, Let's Wait!Naona kwa mrusi Withdrawal via VISA iko temporaly unavailable! Au huko kwenu shwari??
Card Ya BancABC Prepaid Visa Card Mkuu!Nilikuwa natumia safaricom, nayo naoana bila bila saiv
Vip we unatumia njia gani??
Zungukia bitcoin sema bitcoin ya kikuda sana.. yan 10000 itaingia 7500 kweny account na hapo umetuma10000 kama 10000 bila kato lolote!Nilikuwa natumia safaricom, nayo naoana bila bila saiv
Vip we unatumia njia gani??