Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Zungukia bitcoin sema bitcoin ya kikuda sana.. yan 10000 itaingia 7500 kweny account na hapo umetuma10000 kama 10000 bila kato lolote!
Tafuta kadi!
Nataka nijaribu NMB maana nimeambiwa nao wako bomba ila naona leo withdrawal ya VISA inazingua
 
kwa niaba ya vaddy
Screenshot_20191003-183716.jpeg
 
Nataka nijaribu NMB maana nimeambiwa nao wako bomba ila naona leo withdrawal ya VISA inazingua
Ukiwa na lain ya safaricom kenya ni poa mana utaweka hela kwa card na unaweza kutoa kwa njia ya simu, mana zile njia za kutoa kwa simu mda wote zipo ila kuweka ndo shida, ila kwa 22bet unaweka na kutoa kwa njia ya sim safaricom. Hiyo 22bet ni same as 1xbet
 
Hii 22bet unaitumia??
 
Back
Top Bottom