Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilisema taacha kubet ila naona ni ngumu sana kama mvuta sigara kuacha au mla unga kuacha,,, ila unaweza kuachaje kwa mfano yani unaweza ten or twenty harafu unashinda laki or above laki,,, Mie naona hata maisha simple tuu huku unapokea salary wakati huku unapata hela za food na bia na pamba vijana tupambane
 
Nilikwambia brother tuendelee na uraibu
 
Kubet bwana ni strategies tu
Fateni formula yangu tu matokeo mtakayo yapata naamini mtayapenda

Rule no 1 usibeti ligi kubwa,mechi kubwa
Rule no 2 double chance first half

Apo una select timu zako tano unapata 2odds yaani hapo wewe kilio utakisikia kwa jiranii
Basi mkuu acha niamie japan kwenye team ndogo
 
Chagua timu chache kama 3,4 or 5 harafu unatupia Twenty or ten or Five thousand hutajuta,,,,juzi nilimpiga hivyo hivyo Jana napo nikampiga japo kwa mbinde sana maana nilijuwa nimeliwa ila Barcelona wakafanya changes
Sometimes bet ni zaid ya ujuavyo katika izo team 3 unazo chagua mchawi pia hakosekan

Sasa kwa yale matokeo ya Napoli una mkwepa vipi kanji?
 
Leo nimeamka na wazo la 28+ ,

Ngoja nijaribu kuucheza kwa league ya Europa

Goli lipatikane kuanzia 28 minutes !!!!
 
Mambo matano niliyo gundua leo kwenye uefa!
1.salzburg ni team hatari sana kwa sisi wa kamari kwenye league to avoid sana ku m limit magoli
2.ajax wamekomaa wameiva sana...hata mwaka huu watafanya makubwa wanapiga mpira wa kitabuni haswa
3.chelsea gg ni better option kw sasa zonal making kwake bado ni tatizo atafunga na kufungwa sana
4.napoli siyo league siyo uefa mara nyingi akikukosa first hald huwa anafungwa mwishoni au sare rejea game ya Cagliari' na genk
5.kanji sometimes anatu ogopesha na odds ,team inauwezo atii inapewa 5 ajax ,lyon mamelod anacheza na kibonde anapewa 2 ili tuogope
Noted
 
Kubet bwana ni strategies tu
Fateni formula yangu tu matokeo mtakayo yapata naamini mtayapenda
Rule no 1 usibeti ligi kubwa,mechi kubwa
Rule no 2 double chance first half
Apo una select timu zako tano unapata 2odds yaani hapo wewe kilio utakisikia kwa jiranii
Ebu wacha porojo zako, screenshot mikeka yako hata 3 uweke hapa la sivyo utakuwa unataka kutuchezea shere
 
Mkuu Achana na hichi kikiazi, Tangu mda kinaulizwa kiseme ni dc ipi ila hakisemi..ni kipumbavu sana hichi kivaddy..kipuuzi kweli!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti ni kipumbavu sana hichi kivaddy
 
Jana Nilipita Hivi.
IMG_20191003_113105_841.jpeg
 
Back
Top Bottom