Makocha hawaruhusiwi kubet ikijulikana adhabu yake sio mchezo labda afanye mbinu amwambie mtu mwingine abet lakini tukumbuke amna siri ya watu wawiliKweli mkuu, hata mimi najiulizaga sana, makocha siwanaweza wakawa matajiri sana kwa hizi option zinazowahusu
Pole mkuu shabikiKwani ni lazima uweke Man U ashinde, au ulichokiongea kuhusu kubadili mbinu hujamaanisha
Kua kimawazo
Usilete uhasama wako na Man United humu
Watamkamataje sasa akijisajiri kwa ID fekiMakocha hawaruhusiwi kubet ikijulikana adhabu yake sio mchezo labda afanye mbinu amwambie mtu mwingine abet lakini tukumbuke amna siri ya watu wawili
Makocha hawaruhusiwi kubet ikijulikana adhabu yake sio mchezo labda afanye mbinu amwambie mtu mwingine abet lakini tukumbuke amna siri ya watu wawili
Sio wachezaji tu hata viongozi wa timu hawaruhusiwiPia wachezaji hawaruhusiwi kubet
Sio wachezaji tu hata viongozi wa timu hawaruhusiwi
Lakini si wanaweza wakajisajiri kwa majina feki
Uwe unashare mkuu nasi tupite nazoWeek tamu sana hii kila siku nashinda tuu,,, kila nikilala nikiamka nakuta hela tayari,,,,sasa naachaje kubeti? Kama hushindi usikate tamaa Bali badili mbinu usipende kutumia mbinu moja pia na litimu kama MAN U sio lakuweka kwenye mkeka wako...
App ni moja tu, huwa haibagui nchi
Mzee ni ngumu sana halafu pia kwa wenzetu systeam security ipo ya hali ya juuSio wachezaji tu hata viongozi wa timu hawaruhusiwi
Lakini si wanaweza wakajisajiri kwa majina feki
Yap ataweza kujisajili kwa majina feki, but kama ni kocha maana yake obviously ataweka dau kubwa sana kocha awezi kuweka hivi vidau vyatu laki hadi million 1, so akiweka dau kubwa na hela atakayokula ni kubwa ili aweze kuitoa hiyo hela watamwambia averify account yake, hapo ndio mbivu na mbichi zitajulikana.Sio wachezaji tu hata viongozi wa timu hawaruhusiwi
Lakini si wanaweza wakajisajiri kwa majina feki
Wakuu, hawa Premierbet mbona siwaelewi? Tangu ijumaa nilideposit 50K nikabet kwenye live nikashinda 120K. Nilivyotaka kuwithdraw wakaniambia Registration haijakamilika nitume vitambulisho na email yangu kwenye namba yao ya whatsapp. Mpaka leo nikitaka kuingia kwenye account naambiwa “player is blocked for login”, na nikiwapigia simu wananiambia nisubiri. Kuna aliyewahi kuexperience ujinga huu wa premierbet? Wana jamvi nipeni akili maana ningekua Dar ningewaibukia ofisi zao
Hapana Bro sina! search/Nenda tu moja kwa moja kupitia website!Mzee baba naomba kama una file la apk la 1xbet ya kenya uniforwadie..
Tumia tu website hlf ili muonekano uwe vizuri, tumia new version, ipo hapo hapo kweny site yaoKwangu inagoma...yaani msg zinatumwa lakini bila bila
Sure! Kwa nchi za ulaya, wao wanakamilisha kila kitu kwa kila kampuni wanayotumia kubeti, huki ndy kwanza tunapambana na NIDAMzee ni ngumu sana halafu pia kwa wenzetu systeam security ipo ya hali ya juu
Hata ukiwa mcheza kamali wanafahamu hadi unapo kaa,passport,mafingerprit na madata kibao
Mf kwa wanaotumia 1xbet yaan unaona kabisa hata ukitoka nje na location uliyo sajilia wanakuuliza ucomfirm kwanza
Ni hatar.
We kwa mfano ni kocha, mara wanakuja jamaa wanakwambia bwana mechi ya kesho weka sub 2 badala ya 3 afe kipa afe beki (odds 4 za uhakika 100% hizo), milioni 200 hii hapa ya bure, utakataa?.Yap ataweza kujisajili kwa majina feki, but kama ni kocha maana yake obviously ataweka dau kubwa sana kocha awezi kuweka hivi vidau vyatu laki hadi million 1, so akiweka dau kubwa na hela atakayokula ni kubwa ili aweze kuitoa hiyo hela watamwambia averify account yake, hapo ndio mbivu na mbichi zitajulikana.
Labda mtu mwingine ambetie, ila ukumbuke hakuna siri ya watu wawili daima