Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hiyo option ya sub au red card ikija ligi kuu Tanzania, nakwambia watu wa kwanza kupiga pesa ni wanasiasa huku sisi wenye kazi yetu tukiwa tumeng'ang'ana kwenye direct win.
Mchezaji wa bongo anashindwaje kucheza rafu ili apate red card sawa na alivyobet kwa sababu ya pesa!
 
😂😂😂😂 Hizi option za mtu mmoja mmoja zikija bongo kila mchezaji, kocha na refari watakuwa wanapiga hela kila mtu kivyake.
Goalkeeper atadeal na official added time, keeper atajifanya ameumia ili ziongezwe dakika nyingi za nyongeza.
Refa ataamua kugawa kadi nyingi za njano first half, hapo kabet over 2.5 HT ina odds nzuri.
Kocha anafanya zake sub kipindi cha kwanza.
Mabeki kazi yao ni kutoa tu corner, hapo wamebet over 6.5 corner HT.
 
Mikeka ya Leo vip?

Mimi nataka niweke mpunga kwa

Madrid win
Liver win
B. Munich win
Psg win
 
Damn betting

... juzi Czvezda/Olympiacos niliwapa Under 3.5 wakatoka 3-1 na mkeka wa 400K ukachanika, jana NAC Breda/Nijmegen nawapa Over 1.5 wanatoka 1-0 na mkeka wa 250K unachanika.
 
Damn betting

... juzi Czvezda/Olympiacos niliwapa Under 3.5 wakatoka 3-1 na mkeka wa 400K ukachanika, jana NAC Breda/Nijmegen nawapa Over 1.5 wanatoka 1-0 na mkeka wa 250K unachanika.
Unabet kitoto sana aisee utapigwa mno
 
Jamaa anataka kubishana na wakongwe hajui uzoefu ulionao kwenye hii game. Ngoja tusubiri majibu ya yeye anayebet kikubwa[emoji13]


Hahaha ... pengine ana mpango kazi wa kikubwa. Sio mbaya akatufahamisha tukajifunza. I am open to learn.
 
Namsubiria kwa hamu jibu lake linaweza kutusaidia labda ahahahahah
Pesa ipo kwenye live bet , na pia pesa ipo kwenye ligi za singapore, israel, lebanon, vietnam, CAF champions league, india, china, latvia, e.t.c lazma uzijue ligi zao na ujue kuusoma mchezo kupitia sababu sijisifu ila mimi najua kubet sifanyi makosa ya kitoto sijawahi bet nchi hizi maarufu kwa mpira....nakaribisha ushiraka kwa anejiamin ana mtaji utoto wa kutuma odds sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…