nicholaus mbwambo
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 287
- 233
Dahh. We jamaa una mkwaraaUnachezea pesa naona maana hapo unabahatisha ,kumbuka bet sio bikp
Naona unataka kuwatia nyege watu waliwe, weka mkeka uliolipia laki 2 tuone ujasiri wako.
[emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 1224222
Ndicho kitakachotokea kwa Liverpool leoTottenham ni fala akikutana na man city au liverpool anakaza ili aharibu akikutana na hvi vitoto vya under 19 vinatupia tu m@maeeee
Labda Liverpool ya Uruguay,sio hii ya Merseyside.Ndicho kitakachotokea kwa Liverpool leo
Acha ngonjera dk 90 ndizo zitaamuaLabda Liverpool ya Uruguay,sio hii ya Merseyside.
Hahahahahahahahah ile ni Anfield utakufa hata kwa Atmosphere tu,Kama unajeuri Mpe Leicester halafu uone utavuna nini baada ya Dk 90.Acha ngonjera dk 90 ndizo zitaamua
Daaa totnham ananilaza saa 9 mchana.
[emoji1787][emoji1787]Labda Liverpool ya Uruguay,sio hii ya Merseyside.
Sio ampe tu yaan aweke lakiHahahahahahahahah ile ni Anfield utakufa hata kwa Atmosphere tu,Kama unajeuri Mpe Leicester halafu uone utavuna nini baada ya Dk 90.