Hili jukwaa halikuhusu naona mmeanza kulivamiaHii hela uliyopoteza hapa kubetia ni bora ungenipa nikanunulie embassy, sorry lakini
Ni nani aliyekupa hayo mamlaka ya kupangia watu kuingia kwenye hili jukwaa,?Hili jukwaa halikuhusu naona mmeanza kulivamia
Bora umeongea mkuu eti mtu anajimilikisha jukwaa nimeshangaaNi nani aliyekupa hayo mamlaka ya kupangia watu kuingia kwenye hili jukwaa,?
Alafu sija ku quote wewe, acha shobo za kike
Vijana wa siku hizi wanadharau aisee!Au sio ... kubet kikubwa ndo kukoje, tufahamishane sio mbaya Chief !
Wait match nduguHahahahahahahahah ile ni Anfield utakufa hata kwa Atmosphere tu,Kama unajeuri Mpe Leicester halafu uone utavuna nini baada ya Dk 90.
Mkuu umeshapata mchumba?? Kuna uzi nimeona unatafuta mchumba.Bora umeongea mkuu eti mtu anajimilikisha jukwaa nimeshangaa
2.5 Over................Daaah aisee ni nini kimemkuta Tott maana anapigika ******* kweli....yaani hawa vipofu wamemgegeda cha 3 m@m@e zake...
Mkuu umeshapata mchumba?? Kuna uzi nimeona unatafuta mchumba.
Poa,KiongoziWait match ndugu
Mkuu umeshapata mchumba?? Kuna uzi nimeona unatafuta mchumba.
HaaaaaaaaaaaaaaaaaaDooooooh halafu eti anabeti kikubwa
Mimi namshukur kwa hiloBora spurs katoa over tu
hahahaDooooooh halafu eti anabeti kikubwa