Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daah makapuni ya bongo mechi imeharibika katikati yamchezo terms yao inasema masaa 24 Wana refund pesa sas zaidi ya masaa 34 jibu lao vumilia. Aaaah nawachukia parimatch[emoji51]
 
Tunakaa humu leo wawili naomba mniombee na nitawapashavu hapo baadae
 
Mkuu umeshapata mchumba?? Kuna uzi nimeona unatafuta mchumba.
Pole sana jamii forum na mitandao yote ya kijamii sio maisha halisi mzee sasa endelea kukariri tu wachumba bado nawachuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…