Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sub player to score, UMETISHA
 
Mount kapiga goal dkk ya 23' 🤣🤣

Mount to score at any time 🤑(at ht 🤑)
Gg and 3+ 🤑
Ht chelsea win🤑
Chelsea win ht/ft🤑
Goal dkk ya 80-90🤑
Substitution player to score 🤑(mich bachuayi goal dkk ya 89')
 
Na kuna jamaa alidai kuwa ni 0%
Ama kweli kwenye huu mchezo usidharau maamuzi/mawazo/maono ya mwenzio
 
Hizi mechi ni zakwenda nazo inplay, nani alizani leo man city atalala ovyo kwao, na kulikuwa na point more than 30
 
United naye anaondoka na ulimwengu kwa waliomfuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…