Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Maoni yangu leo kuelekea game ya chelsea

Kati ya dkk ya 20-35
Mason mount ataiandikia chelsea goal la kuongoza na kupelekea Chelsea kwenda ht matokeo ikiwa 0-1

Kati ya dkk ya 50-75
Southampton watasawazisha na ubao kusomeka 1-1

Dkk kati ya 80 - 90+ Olivier giroud akitokea sub ataiandika Chelsea bao la pili na game kuisha 1-2.


So option zifuatazo leo uhakika 90℅
Chelsea win ht/ft odd 3+
Chelsea win ht odd 2.50+
Highest scoring second half odd 2+
2nd half over 1.5 odd 1.86+
Second half droo (X) odd 2+
Gg & 3+ odd 2+

2nd half gg odd 3+

2nd half cs 1-1 odd 4+


Cs 1-2 odd 7+

Mount to score at any time odd 3+(at ht odd 4/5+)

Substitution player to score odd za kutosha.


🙌🙌😂Kwa mara ya kwanza nimecalculate kupitia nyota.
 
Mkeka huo Czech republic daraja la 3a watafute kwa kampun unaotumia hutojuta ikifika saa 12 jion na saa Moja jion

Wakwanza
IMG_20191006_122630_618.jpg


Wapili huo
IMG_20191006_122601_101.jpg


Jumapili njema
 
Kuna mmoja hapa lazima aondoke na Betri la mtu.
NEWCASTLE
SOUTHAMPTON
 
In play bwana unampigaaa wee ghafla unageuzwa ww mbili tu chali aaaah
 
Back
Top Bottom