soka255
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 1,860
- 1,321
hahahahaMechi kibao ila kupata game tano tu imekuwa mtihani. Never give up siku akikaa kwenye formula unambutua za kutosha. Hii kazi haina tofauti na watu wanaochimba madini. Huwa wanakuwa na imani tu ipo siku watatusua