Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sasa kama profile Kenya, namba ya simu ya Safaricom utasemaje app ya 1xbet ni tofauti tofauti kulingana na zone uliyopo?????

Nataka hiyo app ya 1xbet Kenya mnayodai kuwa ipo, utumie account zenu za Tanzania kuingia na ukute payment methods za Kenya si ndio mnacho maanisha
We Jamaa una penda ligi tu
Kuhusu iyo app ya 1xbet kenya ipo

Wakat tuna hangaika na 1xbet kuna mtu alidokeza kuhusu kutumia Safaricom kama njia mmbadala baada ya payment method zetu kuondolewa ivo
Ilkua tuba tumia VPN mfano mm nlkua natumia HOLA VPN ku cheat location na kusajili Acc mpya kupitia namba ya Safaricom

Uki tumia vpn ukisearch 1xbet ulkua unaipata 1xbet.ke/co na payment method zina kuja izo za kenya kwa hyo hiyo app aliyo kua aki hitaj jamaa ilkua uki idownload inakua ime andikwa kabisa 1xbet.ke haina tofaut yoyte na hyo unayo itumia
 
Wale wakuotea odd za kibabe na kuwin tukutane hapa mfno

Aliyemuua

Spurs
Buyern

Lazima alipata odd mlima, leo weken basi hio ktu wakuu
 
Mimi leo naombeni 2 ODDS basi

Arsenal win
Zenit win
9F8FF4F1-85AF-45FE-A5BC-3D6B7B5BBD7F.jpeg
 
Hivi ni kampuni gani za TZ ambazo hazina kodi ukiachana na Parimatch na Pmbet
 
Back
Top Bottom