Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huko viunga vya manchester ni vilio... atletico kilio, napoli naye ndo hvo. Kuna weekend hua kashetani ka Mhindi kanakuaga kapo active sana..
 
Zamani wachezaji ndio walikuwa wqnashikilia hela, siku hizi hadi makocha wanashikilia. Hizi ndio kazi za kusomea sasa. Unafanya sub over 0.5 kipindi cha kwanza stake nyumba make na watoto.
Hahahahha...unabetia Sub First half...hahha...alafu unatoa chezaji dakika za kipindi cha kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji389][emoji389][emoji389][emoji389]
 
Hahahhaha...Maisha safi kabisa.
Ulaya wnaashindwaje kufanya hivi??????

Hata kutumia jamaa zao na marafiki, ndugu.
 
Wadau hivi substute player to scor 1xbet inapatikana wap au ni special team tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…