Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeweka...Nikaibetia yote..nikala...

Najaribu kutoa, nasubiria ""SMC CODE" Haifiki.

Note; Natumia Tigopesa.

Vipi wewe au mtu yeyote amefanikiwa kutoa hela??????
Mi ni card natumiaga kutoa na kuweka ila kwenye kutoa nazungukiaga skrill 7bu ya limit! Sijajaribu kwa za saiv!
 
PALE UNAPOZALIWA NA 1*BET
ASIKWAMBIE MTU


10-10-XXXX
HBDAY2M
THX LORD...
 

Attachments

  • VID-20191009-WA0133.mp4
    1.4 MB
Haina shida nmewithdraw imekubali
Duuh!...nimeCharti nao....

Aisee, hivi vizungu hivi[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lugha zimekuja kwa Ndege[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sijaelewana nao kabisa, wamenipigia....Nahisi inahitajika Namba za Kitanbulisho hivi, something like that.

Nitaendelea kuparangana nao kesho.
 
Vipi tupe mrejesho imekuja baada ya muda gani au haijaja mpaka uwa WhatsApp M-lipa? [emoji13][emoji13]

Haya yatakuwa mambo ya M-bet unatoa pesa saa tatu asubuhi inakuja saa nane mchana manina
Mkuu, nahisi kuna mambo ya kuwapa namba za kitambulisho.

Wamenipigia, sema kizungu mzee[emoji23][emoji134]...na hizi shule zetu za Kata![emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ila nitaparangana nao kesho...let me sleep now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…