Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilikua na test mitambo kuweka na kutoa naona mambo mazuri pesa zinaingia pesa zina toka.....
Anyway mimi nipo full yaan wakitaka visa, master card, skrill, Paypal, mpesa kenya(safaricom) washindwe wao na account iko full registered

Screenshot_20191010-122013_1xBet.jpeg
 
Angalizo, ukishabonyeza deposit pale kwenye 1x bet subiri mpaka wakutumie sms kwenye simu yako ndio ufanye deposit, ukijidai kuwah kabla sms haijafika utaanza pambana mapemaaa na MLIPA
 
Mkuu kumekucha tupe mrejesho [emoji13][emoji13][emoji13] hujaombwa kitambulisho cha NIDA kweli huu upuuzi mimi ndio siutaki
Haahahahahahha...Mkuu, ile hela niliyoshinda[emoji134]ikaliwa tena usiku[emoji134][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]...hhahaha...so, sijaendelea kuwaomba tena Code ya kuWithdraw[emoji134][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]....Maana sina cha kutoa...hhahahah

Ila nina mpango qa kuDeposite hata kidogo, niwale...halafu nianze kuparaganga nao na lugha yao ya kigeni, nione suruhisho... ili muda mwingine niwe huru nikianza kumla ukweli ukweli.
 
Reference number unatumia ipi maana inayokuja kwemye sms ina namba tatu tu
Angalizo, ukishabonyeza deposit pale kwenye 1x bet subiri mpaka wakutumie sms kwenye simu yako ndio ufanye deposit, ukijidai kuwah kabla sms haijafika utaanza pambana mapemaaa na MLIPA
 
Back
Top Bottom