Baba mzungu
Member
- Sep 13, 2019
- 81
- 121
Usiogope wahi mapema kabla figisu hazijaanza ni dakika mbili tu kutoa kwa tigoJe mmejaribu kutoa hata 5000?
Usiogope wahi mapema kabla figisu hazijaanza ni dakika mbili tu kutoa kwa tigoJe mmejaribu kutoa hata 5000?
Amini mawazo yako huwez kosa hata 1.5 odds Kuna matches zaid ya 1000 Mimi nikipata 1.5 odds tu roho yangu burdani nahitaj elf 20 tu kwa cku hiyo hapo yote ya Leo mmoja wamerefundMkuu share bet codes tutembelee nyota
400700
Duuh mkuu andika vizuri. Sijaelewa maelezo yako.Ajabu nilowithdraw mara ya mwnzo kwa tigo pesa mulkua nq elf3 ambayo ilibak kwenye Bitcoin nikadeoposit elf3 ucku kwa tigopesa nikaibetia yote ekf6 nikapata elf9900 nikawithdraw elf3500 nilkua natest mitambo wamenikata elf3 kwenye account cjui imeenda wapi elf3 mara ya pili hawakunikata Kuna mtu yyte aliekatwa alipowithdraw mara ya mwanzo?
Mkuu samahn naomb nitjie uzur w 1x bet jpo kdgo nione km nawez hamio hukoKampuni zetu za kibongo itabidi wafunge tu, naona utitiri wa watu wakihamia xbet mda si mrefu..
fanya kurekodi haya maelezo kwenye simu halafu tupia audio, ili iwe rahisi kuelewa ulichomaanisha.Ajabu nilowithdraw mara ya mwnzo kwa tigo pesa mulkua nq elf3 ambayo ilibak kwenye Bitcoin nikadeoposit elf3 ucku kwa tigopesa nikaibetia yote ekf6 nikapata elf9900 nikawithdraw elf3500 nilkua natest mitambo wamenikata elf3 kwenye account cjui imeenda wapi elf3 mara ya pili hawakunikata Kuna mtu yyte aliekatwa alipowithdraw mara ya mwanzo?
Haina uzuri wowote ni kama Betpawa.Mkuu samahn naomb nitjie uzur w 1x bet jpo kdgo nione km nawez hamio huko
Mbona unakimbia mkuu? usije ukaanguka aiseeOyaaa majomba mwera hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125]
vipi Mkuu Ile millioni ulio iachaga 1xbet nigawie basi hata 5000 nitakushukuruAiseee, 1xbet imerejea
Aiseee, 1xbet imerejea
Kwenye account yngu nilkua na amount ya elftatu ambayo nilideposit kwa Bitcoin hiyofanya kurekodi haya maelezo kwenye simu halafu tupia audio, ili iwe rahisi kuelewa ulichomaanisha.
Sorry mara ya pili nilipowithdraw ckukatwa hata shimmiaKwenye account yngu nilkua na amount ya elftatu ambayo nilideposit kwa Bitcoin hiyo
Usiku nikadeoposit tena elftatu kwa tigo pesa zikawa elfsita
Nikabet yote elfsita nikawin elf9900
Hapo hapo nikawithdraw elf3500 ambayo amount kwenye account inasoma elf 9900
9900-3500 nikakuta elf2900 kwenye account yngu nyengne zimeenda wapi wakat nilowithdraw elf3500 tu
Mara ya pili nilipodeposit ckukatwa hata shimmia
mzee baba unapoteaAiseee, 1xbet imerejea