Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi nashida hapo Mkuu. Bombo ngafu.

Ninapotaka kutoa, naambiwa nisubiri SMS CODE (Na haifikii).

Natumia Tigopesa pia.View attachment 1228777
Fanya ivi nenda kwenye account yako kama vile unavyoenda kuwithdrawal kwa juu utaona kaalama ka kalamu bonyeza hapo baada ya hapo utaona tena kwa chini umeandikiwa activate by email bonyeza utatumiwa email nenda kwenye email yako confirm baada ya hapo ukitaka kutoa hela inatoka moja kwa moja hakuna maswala ya sms code

Baada ya kuactivate account furahia kutoa pesa
PhotoGrid_1570717452169.jpeg
PhotoGrid_1570717131249.jpeg
 
wale wanaosumbuka na sms codes mnashauri kufanyia miamala yenu kwenye upande wa web na siyo app.
 
wale wanaosumbuka na sms codes mnashauri kufanyia miamala yenu kwenye upande wa web na siyo app.
Hata bila sms nimeona pesa imeingia nimejaribu kufanya kwa kusema potelea mbali ila ikaingia. But not recommended..
 
We Jamaa una penda ligi tu
Kuhusu iyo app ya 1xbet kenya ipo

Wakat tuna hangaika na 1xbet kuna mtu alidokeza kuhusu kutumia Safaricom kama njia mmbadala baada ya payment method zetu kuondolewa ivo
Ilkua tuba tumia VPN mfano mm nlkua natumia HOLA VPN ku cheat location na kusajili Acc mpya kupitia namba ya Safaricom

Uki tumia vpn ukisearch 1xbet ulkua unaipata 1xbet.ke/co na payment method zina kuja izo za kenya kwa hyo hiyo app aliyo kua aki hitaj jamaa ilkua uki idownload inakua ime andikwa kabisa 1xbet.ke haina tofaut yoyte na hyo unayo itumia
Wameludisha mobile payment za Tanzania
 
pole mkuu isee, mm wananifurahisha tu kwa option ya sub tu 1x bet nitarudi nikiona wametulia maana wale hawaeleweki na wenyewe mara kesho unaweza ukaamka ukakuta payment system za bongo zimeondolewa

Mkuu vip leo tips za sub huna?
 
Una kosaje hela 1xbet kwa mfano

Wazee wana kwambia official added time first half over 1.5 odds 2
Ha ha ha ha options kama iz huwezi ikuta
Betpawa
Princessbet
Parimatch
M bet na wapuuuzi wengne

Nb
Bet Responsibly

Pm bet je
 
Pm bet je
Kampuni za bongo janja janja nyingi mzee
Juzi kati nilkua nasubir game moja tu ya shalke 04 itoe over 2.5 ktk mech 7
Tayar 6 zilikua zimesha tick na Return ilkua 78k
Nataka ni turbo wakat mech bado iko first half naambiwa ni turbo 12k wame shikilia iyo iyo 12k mpka game imeisha just imagine 12k out of 78k
 
pole mkuu isee, mm wananifurahisha tu kwa option ya sub tu 1x bet nitarudi nikiona wametulia maana wale hawaeleweki na wenyewe mara kesho unaweza ukaamka ukakuta payment system za bongo zimeondolewa

IMG_6713.JPG


Mkuu nijulipue au kuna sehemu nimekosea
 
Back
Top Bottom