thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
mkuu kwann usingeturbo kabla mechi haijaanza?? mm ninavyojua kuwa kama ungeturbo kabla hiyo game haijaanza ungelipwa zaidi ya hiyo 12k, yaani kwa hesabu ya kawaida tu hiyo mzee nani anayetaka kupigwa pesa nyingi wakati upepo unaonekana kabisa hauleweki.Kampuni za bongo janja janja nyingi mzee
Juzi kati nilkua nasubir game moja tu ya shalke 04 itoe over 2.5 ktk mech 7
Tayar 6 zilikua zimesha tick na Return ilkua 78k
Nataka ni turbo wakat mech bado iko first half naambiwa ni turbo 12k wame shikilia iyo iyo 12k mpka game imeisha just imagine 12k out of 78k