Pesa ipo nimesha deposit kwa tigo pesa nasubiri mafao hapo badae ya Euro Qualification ChampionshipMzee baba jamaa wamerudi! Je watatupa hela au ndo tutaendelea na vilio??
Pesa ipo nimesha deposit kwa tigo pesa nasubiri mafao hapo badae ya Euro Qualification Championship
Odds 2 iz apa tuna test mitambo kwanzaMkuu share bet codes tutembelee nyota
PamojaYap mkuu
Haahahahahahha...Mkuu, ile hela niliyoshinda[emoji134]ikaliwa tena usiku[emoji134][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]...hhahaha...so, sijaendelea kuwaomba tena Code ya kuWithdraw[emoji134][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]....Maana sina cha kutoa...hhahahahMkuu kumekucha tupe mrejesho [emoji13][emoji13][emoji13] hujaombwa kitambulisho cha NIDA kweli huu upuuzi mimi ndio siutaki
Dondosha nondo mkongwe...Pesa ipo nimesha deposit kwa tigo pesa nasubiri mafao hapo badae ya Euro Qualification Championship
Oyaaa majomba mwera hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125]Wakuu tupieni vitu vya leo, hapa tayari account yangu ya 1xbet iko full magazine nasubiri kumpiga na kupigwa na mrusi.
Angalizo, ukishabonyeza deposit pale kwenye 1x bet subiri mpaka wakutumie sms kwenye simu yako ndio ufanye deposit, ukijidai kuwah kabla sms haijafika utaanza pambana mapemaaa na MLIPA
Soma vizuri hakuna reference number kama hio 1XBet unajichanganya wewe.undefinedUsianze kudeposit kwenye simu anzia kwenye app au web kule ndo watakupa go ahead.
Tutakusubiri mkongwe kwenye live games....Aiseee, 1xbet imerejea
Ya sms me ndio natumia na inakubaliReference number unatumia ipi maana inayokuja kwemye sms ina namba tatu tu