thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
mkuu kwann usingeturbo kabla mechi haijaanza?? mm ninavyojua kuwa kama ungeturbo kabla hiyo game haijaanza ungelipwa zaidi ya hiyo 12k, yaani kwa hesabu ya kawaida tu hiyo mzee nani anayetaka kupigwa pesa nyingi wakati upepo unaonekana kabisa hauleweki.Kampuni za bongo janja janja nyingi mzee
Juzi kati nilkua nasubir game moja tu ya shalke 04 itoe over 2.5 ktk mech 7
Tayar 6 zilikua zimesha tick na Return ilkua 78k
Nataka ni turbo wakat mech bado iko first half naambiwa ni turbo 12k wame shikilia iyo iyo 12k mpka game imeisha just imagine 12k out of 78k
Mimi siku hizi ni mwendo wa sub 0ver 5.5 naweka stake mlima mechi huwa naweka 4 tumkuu kwann usingeturbo kabla mechi haijaanza?? mm ninavyojua kuwa kama ungeturbo kabla hiyo game haijaanza ungelipwa zaidi ya hiyo 12k, yaani kwa hesabu ya kawaida tu hiyo mzee nani anayetaka kupigwa pesa nyingi wakati upepo unaonekana kabisa hauleweki.
Mimi siku hizi ni mwendo wa sub 0ver 5.5 naweka stake mlima mechi huwa naweka 4 tu
Una kosaje hela 1xbet kwa mfano
Wazee wana kwambia official added time first half over 1.5 odds 2
Ha ha ha ha options kama iz huwezi ikuta
Betpawa
Princessbet
Parimatch
M bet na wapuuuzi wengne
Nb
Bet Responsibly
Ila lolote linaweza kutokea we jilipue tu....c utalipuka mwenyewe ukiwa kitandani kwako
Mkuu hii official added time unaipata wapi kwenye 1xbet
Ni wakati wa kutajirika sasahawa jamaa walikuja kuwatesa makampuni mengi ya kubet maana wanaoption kama zote...yaani matukio yote yanayofanyika uwanjani hawa jamaa option zake zipo yaani ukiwaotea pesa unakula kweli kweli
Shuka mpaka chini utaziona zoteKwangu inakuja option Moja ya Airtel money...sijajua inakuaje hii wakuu..!? Nataka Mpesa.View attachment 1229075
hawa jamaa walikuja kuwatesa makampuni mengi ya kubet maana wanaoption kama zote...yaani matukio yote yanayofanyika uwanjani hawa jamaa option zake zipo yaani ukiwaotea pesa unakula kweli kweli
NaActivate vipi Akaunti kwa Email???Mkuu ukisubiri sms code haiwezi kuja maisha cha msingi activate account yako kwa email nazan ukimaliza iyo ya kuleta sms code itaondoka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni wakati wa kutajirika sasa
Wanajitahidi kweliHawa jamaa naona kama wapo vizur sana
Grau mbona unacheka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nimeamua kubaki PM bet kwa roho safi kabisakumbe tupo wengi
Toa iyo green dot kwenye payment system in your regionKwangu inakuja option Moja ya Airtel money...sijajua inakuaje hii wakuu..!? Nataka Mpesa.View attachment 1229075
Ndo nn hyo code mkuuJKP4Q Kiroho mbaay