Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Austria is the best team never seen before [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ningekuwa na namba za hawa makocha ningewatukana ******* yaani!! michezaji ipo mingi bench inashindwa kufanya sub! mechi unazozidharau ndo huwa zinatoa...anyway kesho nayo siku pia
 
M lipa wameanza upuuzi yaani nime deposit tangu saa tatu mpaka saivi hela haijaingia
 
tumia app ya 1xbet ndo utaweza ona vizuri iz optns mechi ya Russia Vs scotland Hiyo option ya official added time ilikua na odds 2.05
Mkongwe hii nimeitafuta nayo nimeikosa aisee! Ingawa natumia App
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…