Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Another1
Screenshot_2019-10-11-00-41-42.jpeg
 
Msaada nimesuka mkeka 1xbet ukachanika,nasuka mwingine wakati huo narudia baadhi ya timu zilizokuwa kwenye mkeka uliochanika, sasa kila nikitaka ku submit inakataa kwamba kuna baadhi ya mechi nimekwisha zibetia ili hali tiyari mkeka wa mwanzo ushachanika
 
1xbet karudi lakini siyo kwa kunichapa yaani toka 100k nimebaki na 3k daah naona ka Nuru kwa mbali
Screenshot_20191011-111852.jpeg
 
Fanya ivi nenda kwenye account yako kama vile unavyoenda kuwithdrawal kwa juu utaona kaalama ka kalamu bonyeza hapo baada ya hapo utaona tena kwa chini umeandikiwa activate by email bonyeza utatumiwa email nenda kwenye email yako confirm baada ya hapo ukitaka kutoa hela inatoka moja kwa moja hakuna maswala ya sms code

Baada ya kuactivate account furahia kutoa pesa View attachment 1228856View attachment 1228861
Hii shidaa mi mwenyewe inanikumba sana, ila hata kwa email kwangu wana niambia kuna email with further instructions has been sent ila tangia jana hadi leo hakuna email yoyote iliyokuja kwangu
 
Angalia hata kwenye spurm folder mkuu au labda email uliyoweka ulikosea

kote nimeangalia kiongozi, tokea jana nahangaika nimejabu mara nyingi nimeshindwa, ila nilijaribu kwa telegram kule ndo walinitea code nika verify sasa sijui kama hawatanisumbua wakati waku withdraw
 
Hii shidaa mi mwenyewe inanikumba sana, ila hata kwa email kwangu wana niambia kuna email with further instructions has been sent ila tangia jana hadi leo hakuna email yoyote iliyokuja kwangu
Angalia kwenye spam messages utaiona.. Kama kwenye inbox hujaikuta.
 
Nimekula single bara mbili 1xbet hela siioni kwenye ac yangu naambiwa nime won tu ila hela haionekani nini tatizo
 
Back
Top Bottom