Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1xbet tofauti na makapuni mengine. Kupigwa kupo na kumpiga pia kupo makapuni mengine sijui yapo vipi unaweza pigwa hata mwezi mzima unabaki kujipa matumaini eti "IPO siku"
Aah Asante naona nimefikisha 70k toka 3k huu mchezo hauhitaji hasira
Screenshot_20191011-123203.jpeg
 
Msaada wale mnaojua hii lugha ya mabeberu mnisaidie maana nimetoa noti azijafika mpaka sasa
20191011_132637.jpeg
 
Msaada wale mnaojua hii lugha ya mabeberu mnisaidie maana nimetoa noti azijafika mpaka sasaView attachment 1229625
Just be patient Brother!
Your withdrawing process is in process to be processed by those in processing system!
It it becomes unprocessed with a day by the processing system, find them for further processing!
 
Mkuu england aipandi kichwani nataka kwa kiswahili msaada

Aliyeko katikati ya 1xbet na wewe unayebet ndiye anayesimamia utaratibu wa kutoa au kupokea hela kutoka 1xbet!
Kwa ishu yako ni kuwa, aliyeko katikati ya huo utaratibu wa kutoa na kuweka hela 1xbet hajathibitsha bado utaratibu wako wa kutoa!
Hivyo, inabid uwe mvumilivu. Na kama, hela haitakufikia ndani ya saa 24 kutokea muda ulitoa hela, wasiliana nao tena hao 1xbet ili utatuzi upatikane!
 
Asante mkuu

Back
Top Bottom