Nami najitahidi kuielewa,,,unacheza option gani?Asante sana volleyball
Kwa Telegram ulifanyaje???? Maelezo please.kote nimeangalia kiongozi, tokea jana nahangaika nimejabu mara nyingi nimeshindwa, ila nilijaribu kwa telegram kule ndo walinitea code nika verify sasa sijui kama hawatanisumbua wakati waku withdraw
Jana Eden hazard alkua na odds km nne hivi kwenye any player to score goal at anytime -No then hakufungua hata goalDaah boss watakuloga aisee...!! Unapiga odds ndefu hivyoo..mchezo gani huo???
wadau tupunguze maneno ya kashfa sio wote tunauwezo sawa wa kufikiria ndo maana kwenye mashindano yeyote huwa kuna wa 1 hadi wa mwisho na sio kwamba yule wa mwisho hajui hapana Ila nikuzidiana tu na sio kila mtu yupo perfect katika kila sehemu ndo maana hata kwenye maswala ya darasani kulikuwa kuna vipanga katika somo husika, so mtu anapohitaji msaada msaidie tu hata kama kwako unaona ni jambo dogo we msaidie tu ukiona unashindwa au limekukera kaa kimya tu hutapungukiwa na kitu chochote!! kumtupia MTU maneno makali ni kukosa maarifa na hekima so tuwe tunajitathmini sometimes unaweza ukamjibu mtu kwa hasira kutokana na stress za hapa na pale basi akili zako zinapokurudi unaweza kumfuata MTU PM na kusuhulisha unajua maisha na kama duara mwanzo wala mwisho haujalikani so Leo unaweza ukamsema mtu vibaya humu kesho anaweza akawa msaada kwako!!
anyway nawatakia mapigano mema na kanjibahi!!! but niwasahii kuhusu 1xbet tusikamie sana huko maana nimeona humu watu wanalalamika sana betting sites zipo nyingi hata hizi za kibongo zinatosha...wengine wanafuata mkumbo jamani kwenye betting hakina sure option ya 100% haya mambo ni ubashiri tu popote zali linaweza likakutoa sehemu moja kwenda nyingine...
Ni sawa na naelewa ila usifikir ni rahis hivyo kufikisha hizo 25, atakutwa na atapitwa na mwenzake kizembe tuu...betting is betting regardless what!Mm nacheza team flan ishinde set let say set one Nampa awin akifkisha 25 balls over mwenzake ndo anakua amewin set
Fanyaga kushare mkuu. Me nahitaji odd 4+ tu kwa siku.1xbet tofauti na makapuni mengine. Kupigwa kupo na kumpiga pia kupo makapuni mengine sijui yapo vipi unaweza pigwa hata mwezi mzima unabaki kujipa matumaini eti "IPO siku"View attachment 1229599
Pm bet sio kweli kwamba hadi laki kikubwa game zingine ziwe hazijaanza.jamani msaada kampuni gani lakubet ambalo lina turbo cash out ukiachana na meridian maana app yao inazingua san
na ukija pmbet wenyewe wana cash aut hadi ubet laki
Sikuhizi haina haja ya kwenda new frica labda kama unatumia bet card kama unatumia njia nyingine kama VISA EBAY NK..wanakutumia moja kwa moja kwenye account yako hizo njia pindi tu ukiwithdrawMie nimejiunga ladbrokers napiga mikeka alafu option kibao unamaliza ishu zote kwenye internet na hela inaingia wewe ni kwenda pale new afrika cassino unachukua mpunga wako ni rahisi sana kujiunga
Me ckusema ni rahic kupata nimejbu sual la unatumia option gan nikaona niseme namm nnayotumia hata odds 0.1 inachana ila toka nilpocheza odds nyingi kwa win set one km amepewa direct win odd ni chini ya moja bac na win set inakua chini ya moja 0.5-1.2 wanaopewa 1.2 bac possibility ya kuchana ni kubwa km usa na Canada direct win usa alkua na 0.9 odds win set 1 alkua na 1.2 set 1 akapgwa na Canada kwa tofaut ya ball mbili km.ivoNi sawa na naelewa ila usifikir ni rahis hivyo kufikisha hizo 25, atakutwa na atapitwa na mwenzake kizembe tuu...betting is betting regardless what!
Set moja ina dakika ngapi?Mm nacheza team flan ishinde set let say set one Nampa awin akifkisha 25 balls over mwenzake ndo anakua amewin set
1xbet tofauti na makapuni mengine. Kupigwa kupo na kumpiga pia kupo makapuni mengine sijui yapo vipi unaweza pigwa hata mwezi mzima unabaki kujipa matumaini eti "IPO siku"View attachment 1229599