Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unakosaje hata akili simple tu ya kuwasiliana nao. Hili ni swali la kijinga kuulizwa. Ningekua adimin ningekutoa kwenye forum.

Thinking capacity yako ni ndogo sana ndugu. Sorry to say that.
Hakuna sababu ya kuandika haya yote ilihali kuandika huku hakumsaidii. Umeshindwa nini kumwelekeza ikiwa ametahadhalisha kabisa kuwa Lugha ni changamoto. Kwa nini tunajiona bora sana kwa wenzetu wakati tu safari moja. Tuachane na roho za ubinafsi.
 
usinganganie kampuni kama lugha ya malikia imepita pembeni..vitu vingine vya kipuuzi mtu anauliza..na hata akiuliza kuna baadhi ya ishu huwez kupata msaada wa moja kwa moja kutoka kwa wadau humu..inatakiwa uchati na customer care..hapo ndipo unapoanza kuona 1xbet ni scammers...tulia mbet uko ucheze na watoto wenzio..au playmaster....sio mtu aki win unauliza kampuni gani hii mkuu.!?sasa unafkir kufuata kampuni ndo uta win..its matter of stratergy tu ...kazi kama kazi..betting iheshimiwe
 
Hakuna sababu ya kuandika haya yote ilihali kuandika huku hakumsaidii. Umeshindwa nini kumwelekeza ikiwa ametahadhalisha kabisa kuwa Lugha ni changamoto. Kwa nini tunajiona bora sana kwa wenzetu wakati tu safari moja. Tuachane na roho za ubinafsi.
Kweli kabisa Mkuu si vyema kutoa maneno yasio faa kisa mtu kuto kujua lugha fulani ya kigeni au kutoelewa jambo fulani katika betting ni bora mtu akaushe kuliko kutoa kejeli
 
Cjajua nafkir ni km vile tennis ukifkisha tu point 25 unakua umewin na set imeishia hapo wanaenda set nyengne
Kumbe! Ndiyo maana nilikuwa najiuliza mbona hawaoneshi muda wa set kumbe ukifika 25 kabla ya mwenzako unakuwa umeshinda.
 
Asante sana mkuu kwa kunielewesha.
Atakayewah kufika 25 points ndy mshind na tofaut iwe 2 baina yao..yan 25 kwa 23 au 25 kwa 19 au 27 kwa 25 nk...zikiwa 25-25, watacheza hadi utofaut wa point 2 uwepo, wanaeza fika 29-31 kwa set 1. Hivyo hakuna limit ya muda kama basketball.
 
Kanji kachoropokaa...
IMG_20191011_165221_878.jpeg
 
Unakosaje hata akili simple tu ya kuwasiliana nao. Hili ni swali la kijinga kuulizwa. Ningekua adimin ningekutoa kwenye forum.

Thinking capacity yako ni ndogo sana ndugu. Sorry to say that.
Nilichotaka sio mawasiliano nao kaka nilichotaka mimi ni expirence ya hili jambo kama kuna watu limeshawahi kuwatokea mbona ubongo wako finyu hakuna asiye jua kama kuna mawasiliano ila watu wakija kuuliza sio kama hawajui ila wanataka kujua kama je kuna watu limewatokea zaidi unawaza karibu sana embu jifunze kuangalia mbali mr adimin mwenye upeo mkubwa
 
Ibrahim fanya yaishe kaka nadhan mzee baba hakufikiria kusema kwake hivyo it could hurt your feeling so bad!
 
Back
Top Bottom