koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Òoooh!
Ngoja niwaachie vijana!
kama wewe ni muhenga tuachie sisi aiseeee maana ni noma
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Òoooh!
Ngoja niwaachie vijana!
Ingia kwe website yaoJmn 1x kwa tunaotumia iOS mbna sion kwny App store??
Ingia kwenye website yaoJmn 1x kwa tunaotumia iOS mbna sion kwny App store??
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
kama wewe ni muhenga tuachie sisi aiseeee maana ni noma
Yeah mkuu ukiona neno 'and' maana yake vitokee pamoja. Kikitokea kimoja mkeka unakua hai. Mara nyingi Odds zinakua ndogo sana.Wakuu ivi hii option ya no penalty and no player out ikitokea player katoka penalty haijawekwa vip mkeka unakua umekufa au mbaka vitokee vyote kwa pamoja
Yeah mkuu ukiona neno 'and' maana yake vitokee pamoja. Kikitokea kimoja mkeka unakua hai. Mara nyingi Odds zinakua ndogo sana.
hmmm nnavo kumbuka ni kua bonus hua ina tolewa uki fanya deposit kwa siku ya ijumaa na apo ni kua ukiwa ume enable opt ya take part in BonusesWakuu msaada napataje bonuses 1xbet baada ya kupick team kuanzia 3, maana account yangu ya Tanzania haina hii kitu , kwaanae faham
Niliogopa over na under kwa hizi euro leoView attachment 1230188Mbn kama hakueleweki leo..
Unfer ya goals ngapi kaka mbona total under odds tu?!
Hajaniacha hivi hiviEngland kafanya yake....tusubir NBA tu usiku....
Katoa ngapi ngapi?Hajaniacha hivi hivi
Czech Republic 2-1 EnglandKatoa ngapi ngapi?