Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Vimechi vile havisomeki mie natabili tuu kuwa vitafungana sana home team zitashinda 6, away 5 na sale zitakuwa 2,,, kazi kwako sasa kujua ni zipi
Kaka unatumia site ipi kufanya analysis...siko njema sana kujua team players!
 
Wakuu naombeni msaada kwa anayejua anieleweshe, nataka kujua kuhusu multi bet na system zina maana gani kule 1xbet ?
Natanguliza shukrani
pale 1xbet wana sehemu ya kuchat,
Ukiuliza hilo swali watakujibu vizuri sana tena kwa urefu kuliko ukijibiwa hapa.
Au nenda google type "types of bet" wanakuelekeza vizuri sana na mifano juu.
Kwa ufupi types of bet unazotakiwa kujua ni nne.
1. Single=bet ya mechi moja tu
2. Accumulator=(multi bet) mechi mbili na kuendele na ili uhesabike umeshinda lazima uwin zote. Mfumo wa kikotozi cha odds unazidishwa kwa kila mechi X Dau ( mf 1.40 X 1.50 X Stake)
3. Chain bet= Hii ku-loose mechi moja hakukufanyi upoteze hela yote, ila pia unaweza kupoteza hela yote kama hiyo lost ilikuwa event ya kwanza. (kasome watakupa maelezo mazuri sana)
4. System bet (kasome pia, maelezo yake ni marefu)
 
Naomba mtu anifundishe Haya mambo ya over 2 au under 2 kwa kifupi over na under ni nini !?
 
Back
Top Bottom